Forum
Topics
Posts
Last Post
Hodi zote zinapigwa hapa
Ni kwa majaribio tu, nahitaji maoni yako ili kufanikisha hili. Asanteni.
16
178
Thu Feb 04, 2010 7:10 pmDinah
Wasichana, Wavulana, Madada du na mabraza meni!!
Hapa ni mahali unapoweza kuzungumzia maswala yote yanayohusu ujana wako, karaha uzipatazo/ulizopata, unavyokabiliana/ulivyokabiliana nazo ili kutoa mwanga kwa wengine.
4
50
Thu Apr 03, 2008 6:17 pmSra
Luninga na Radio
Kwa wale wapenzi wa Luninga na Radio jisikie uko nyumbani kwa kujadili na kuzungumzia yote yanayohusu Watangazaji, Waigizaji, Wasanii wa kike.
3
23
Tue Mar 04, 2008 8:51 amramwai
Nyuzi za Mastaa wa nje na Ndani ya Bongo
Kwa namna moja au nyingine huwa unajikuta unazungumzia au kusikiliza udaku (habari za kizushi ambazo huwa na ukweli ndani yake), basi hapa umefika na karibu sana.
Moderator mtotowamjini
4
34
Thu Feb 04, 2010 7:09 pmDinah
Ujauzito,Uzazi na Malezi
Kwa akina mama/baba watarajiwa, mama/baba wapya na wale waliokomaa katika sekta hii na wakaribisha kona hii ili kuelimishana na kuchangia uzoefu wenu ili wengine wajifunze mawili, matatu.
Moderator gnasha
6
23
Tue Nov 27, 2007 1:42 pmgnasha
Kukoma Hedhi
Wapendwa wote mlio ktk kipindi hiki kigumu(kisaikolojia na ni chanzo cha ushusiano kufa) na wale ambao tayari wamesha pita hapa ni mahali ambapo unaweza kuchangia na wengine ili kutambua jinsi ya kubaliana utu uzima.
3
44
Fri Aug 17, 2007 1:45 pmSherry
Mahokaaa bin Vituko
Kwa wale wenzangu wanaopenda kucheka, wanajua kutunga vichekesho au kusaka vichekesho ili kupitisha siku hapa ndio mahali penyewe pa kuminya mbavu.
7
60
Fri Sep 21, 2007 7:16 pmGulp
Mahusiano ya Kimapenzi
Tujadili yale yote yanayohusu maswala ya Kimapenzi na Mahusiano kwa uwazi zaidi ili kuelimishana.
Moderator Dinah
25
185
Sun Jan 10, 2010 4:19 amajuae
UKIMWI na Jamii!
Natambua wengi sio wageni kwenye gonjwa hili, hali ni mbaya na inazidi kuwa mbaya hivyo sio vibaya kama tukikumbushana kwa kujadili na kuchangia uzoefu wetu ktk hili. Sio lazima uwe nao, changia ujuayo.
8
40
Thu Feb 04, 2010 7:07 pmDinah
Habari nzito
Habari muhimu zinazohusu jamii ya Kitanzania na mazingira yake hapa ndio sehemu muafaka kabisa.
18
50
Fri Oct 17, 2008 8:00 amgnasha
Watoto na Maendeleo
Sote tunafahamu kuwa mama siku zote ndio huwa mstari wa mbele kuhakikisha watoto wanakuwa ktk mstari kitabia, afya, maendeleo n.k.
3
15
Fri Sep 05, 2008 6:36 pmDinah
Mitindo na vipodozi
Kwa wale wapenzi wa kutilia(kuvaa) na kujiremba, huu ndio ukumbi wa kuelimishana na kupeana mbunu za kufanikisha muonekano mzuri.
7
70
Wed Mar 05, 2008 5:08 pmramwai
Sayansi na Computer(IT)
Changia uzoefu wako na watu wengine ktk maswala Sayansi na tekinolojia ya Computer na matumizi yake.
Moderator shy
18
30
Fri Feb 05, 2010 3:38 am flyff gold
Michezo
Haya kwa wale watu wa Soka, mbio za magari, mpira wa nyavu na kikapu, rugby na kadhalika mnakaribishwa hapa.
Moderator mtotowamjini
2
10
Fri Dec 21, 2007 3:31 ammtotowamjini
Ponda, Sifia na Kandya
Ni kawaida kutofurahishwa au kufurahishwa na tabia au hulka za watu ktk jamii, vilevile mitindo, mienendo n.k. Sasa hapa ndio penyewe pa kuweka wazi hayo. Karibu sana!
8
82
Thu Feb 04, 2010 7:13 pmDinah
All times are GMT + 2 Hours
Our users have posted a total of 894 articles We have 111 registered users The newest registered user is kobonde
In total there are 3 users online :: 0 Registered, 0 Hidden and 3 Guests Most users ever online was 59 on Fri Apr 04, 2008 5:35 pm
Registered Users: None
Today's Birthdays
No birthdays today
No users are having a birthday in the upcoming 7 days
This data is based on users active over the past fifteen minutes
New posts
No new posts
Forum is locked