| Author |
Message |
mtotowamjini

Joined: 07 Jul 2007
Posts: 33
|
|
Juma Nature ndani ya uk |
|
kwa mliopo uk juma nature anakuja huko....atapiga milton keynes, birmingham na london...kwa info zaidi kwa mtakaotaka kwenda mseme....matonya alikuepo huko juzi juzi kuna aliyekwenda kumuona...tupeni maoni yenu
_________________
 |
|
| Thu Aug 09, 2007 2:37 am |
|
 |
Dinah
Joined: 23 Jun 2007
Posts: 126 Location: Kisarawe
|
|
|
|
haya lete nyuzi basi, kaibua milupo mingapi n.k.
Nasikia ataka kufunga ndoa akirudi Bongo, hivi ni kweli over 2 u kiserengeti 
|
|
| Sun Aug 26, 2007 7:54 pm |
 |
 |
gnasha
Joined: 27 Jun 2007
Posts: 167 Location: slough, England
|
|
|
|
Nadhani alioa Ijumaa ya tarehe 17 August kama sitakuwa nimekosea tarehe maana niliona kwenye gazeti picha ya harusi yake.
_________________ Kuku Kuku.... Jogoo jina |
|
| Mon Aug 27, 2007 10:00 pm |
|
 |
Dinah
Joined: 23 Jun 2007
Posts: 126 Location: Kisarawe
|
|
|
|
Mh! Star gania naoa lakini hawaweki pic zake kwenye mitandao?
Wamjini kalete mapicha ya maselebuleti wa kibongo au na mimi nianzishe Hello magazine Bongo Vision 
|
|
| Mon Aug 27, 2007 10:09 pm |
 |
 |
Janny

Joined: 28 Aug 2007
Posts: 12 Location: Buzwage
|
|
|
|
 |  | Mh! Star gania naoa lakini hawaweki pic zake kwenye mitandao?
Wamjini kalete mapicha ya maselebuleti wa kibongo au na mimi nianzishe Hello magazine Bongo Vision  |
labda uanzishe itakuwa poa sana
_________________ red butterfly
 |
|
| Tue Aug 28, 2007 8:56 am |
|
 |
Janny

Joined: 28 Aug 2007
Posts: 12 Location: Buzwage
|
|
|
|
Hivi Dinah naomba kuuliza mtoto wa mjini ni handsome boy ama na yeye ana kasura ka kichina ..maana hayo ma picha yake ya Diddy kila kona du
Mshirika wa mjini na we ni mzee wa pamba au unazionea kwenye picha ya P.D 
_________________ red butterfly
 |
|
| Tue Aug 28, 2007 9:02 am |
|
 |
gnasha
Joined: 27 Jun 2007
Posts: 167 Location: slough, England
|
|
|
|
yaani kama ningekumbuka ni gazeti gani ningelitafuta na kukata picha yake il niiscan na kuiweka hapa. Tena bibi harusi mwenyewe mzuri
_________________ Kuku Kuku.... Jogoo jina |
|
| Tue Aug 28, 2007 11:04 am |
|
 |
Dinah
Joined: 23 Jun 2007
Posts: 126 Location: Kisarawe
|
|
|
|
 |  | Hivi Dinah naomba kuuliza mtoto wa mjini ni handsome boy ama na yeye ana kasura ka kichina ..maana hayo ma picha yake ya Diddy kila kona du
Mshirika wa mjini na we ni mzee wa pamba au unazionea kwenye picha ya P.D  |
Urefu ni na Umbile (body) ni kama ya P.Didy ila sura ya kiserengeni sio mbaya kama ya P.didy.....kiserengeti changu(wa mjini) kiko bomba ile mbaya 
|
|
| Tue Aug 28, 2007 12:50 pm |
 |
 |
Dinah
Joined: 23 Jun 2007
Posts: 126 Location: Kisarawe
|
|
|
|
Msiniibie tu kiserengeti changu mana'ke nilikuwa namsifia Mentor basi wanawake wote wakawa wanamtaka Mentor 
|
|
| Tue Aug 28, 2007 12:51 pm |
 |
 |
gnasha
Joined: 27 Jun 2007
Posts: 167 Location: slough, England
|
|
|
|
 |  | Msiniibie tu kiserengeti changu mana'ke nilikuwa namsifia Mentor basi wanawake wote wakawa wanamtaka Mentor  |
Usihofu hatutakuibia
_________________ Kuku Kuku.... Jogoo jina |
|
| Tue Aug 28, 2007 7:43 pm |
|
 |
Janny

Joined: 28 Aug 2007
Posts: 12 Location: Buzwage
|
|
|
|
 |  |  |  | Hivi Dinah naomba kuuliza mtoto wa mjini ni handsome boy ama na yeye ana kasura ka kichina ..maana hayo ma picha yake ya Diddy kila kona du
Mshirika wa mjini na we ni mzee wa pamba au unazionea kwenye picha ya P.D  |
Urefu ni na Umbile (body) ni kama ya P.Didy ila sura ya kiserengeni sio mbaya kama ya P.didy.....kiserengeti changu(wa mjini) kiko bomba ile mbaya  |
WA KWAKO WALA HATUMGUSI SIS DINAH
_________________ red butterfly
 |
|
| Thu Aug 30, 2007 10:03 am |
|
 |
Dinah
Joined: 23 Jun 2007
Posts: 126 Location: Kisarawe
|
|
|
|
poa poa....u can look though
|
|
| Thu Aug 30, 2007 12:44 pm |
 |
 |
Dinah
Joined: 23 Jun 2007
Posts: 126 Location: Kisarawe
|
|
|
|
nitakufukuza kazi wewe wa mjini, mbona hakuna nyuzi sasa ei?
|
|
| Fri Sep 05, 2008 6:35 pm |
 |
 |
|